Chapa ya Youversion
Ikoni ya Utafutaji

1 Nyakati 16:29

1 Nyakati 16:29 NEN

mpeni BWANA utukufu unaostahili jina lake. Leteni sadaka na mje katika nyua zake; mwabuduni BWANA katika uzuri wa utakatifu wake.