Chapa ya Youversion
Ikoni ya Utafutaji

1 Petro 2:11-12

1 Petro 2:11-12 NEN

Wapenzi, ninawasihi, mkiwa kama wageni na wapitaji hapa ulimwenguni, epukeni tamaa mbaya za mwili ambazo hupigana vita na roho zenu. Kuweni na mwenendo mzuri mbele ya watu wasiomjua Mungu, ili kama wanawasingizia kuwa watenda mabaya, wayaone matendo yenu mema nao wamtukuze Mungu siku atakapokuja kwetu.

Mipango ya Kusoma Bila Malipo na Ibada zinazohusiana na 1 Petro 2:11-12