Chapa ya Youversion
Ikoni ya Utafutaji

1 Pet 2:11-12

1 Pet 2:11-12 SUV

Wapenzi, nawasihi kama wapitaji na wasafiri, ziepukeni tamaa za mwili zipiganazo na roho. Mwe na mwenendo mzuri kati ya Mataifa, ili, iwapo huwasingizia kuwa watenda mabaya, wayatazamapo matendo yenu mazuri, wamtukuze Mungu siku ya kujiliwa.

Soma 1 Pet 2

Mipango ya Kusoma Bila Malipo na Ibada zinazohusiana na 1 Pet 2:11-12