Chapa ya Youversion
Ikoni ya Utafutaji

1 Samweli 3:9-10

1 Samweli 3:9-10 NEN

Hivyo Eli akamwambia Samweli, “Nenda ukalale, na kama akikuita, sema, ‘Nena BWANA, kwa kuwa mtumishi wako anasikiliza.’ ” Hivyo Samweli akaenda na kulala mahali pake. BWANA akaja akasimama hapo, akiita kama mara zile nyingine, “Samweli! Samweli!” Kisha Samweli akasema, “Nena BWANA, kwa kuwa mtumishi wako anasikiliza.”

Mipango ya Kusoma Bila Malipo na Ibada zinazohusiana na 1 Samweli 3:9-10