Chapa ya Youversion
Ikoni ya Utafutaji

1 Samueli 3:9-10

1 Samueli 3:9-10 BHN

Kwa hiyo Eli akamwambia Samueli, “Nenda ukalale, na akikuita, mwambie hivi: ‘Sema, ee Mwenyezi-Mungu, kwani mimi mtumishi wako nasikiliza.’” Hivyo Samueli akarudi na kulala mahali pake. Baadaye Mwenyezi-Mungu akaja na kusimama hapo, akamwita Samueli kama hapo awali, “Samueli! Samueli!” Samueli akasema, “Sema, kwani mimi mtumishi wako nasikiliza.”

Mipango ya Kusoma Bila Malipo na Ibada zinazohusiana na 1 Samueli 3:9-10