Chapa ya Youversion
Ikoni ya Utafutaji

1 Timotheo 2:11-15

1 Timotheo 2:11-15 NENO

Mwanamke na ajifunze katika utulivu na utiifu wote. Simpi mwanamke ruhusa ya kufundisha au kuwa na mamlaka juu ya mwanaume. Mwanamke inampasa kukaa kimya. Kwa maana Adamu aliumbwa kwanza, kisha Hawa. Wala si Adamu aliyedanganywa, bali ni mwanamke aliyedanganywa akawa mkosaji. Lakini mwanamke ataokolewa kwa kuzaa kwake, wakiendelea kudumu katika imani, upendo na utakatifu, pamoja na kuwa na kiasi.