Chapa ya Youversion
Ikoni ya Utafutaji

Wakolosai 3:16-17

Wakolosai 3:16-17 NEN

Neno la Kristo na likae kwa wingi ndani yenu, mkifundishana na kuonyana katika hekima yote, mkimwimbia Mungu zaburi, nyimbo na tenzi za rohoni, huku mkiwa na shukrani mioyoni mwenu. Lolote mfanyalo, ikiwa ni kwa neno au kwa tendo, fanyeni yote katika jina la Bwana Yesu, mkimshukuru Mungu Baba katika yeye.

Mipango ya Kusoma Bila Malipo na Ibada zinazohusiana na Wakolosai 3:16-17