Chapa ya Youversion
Ikoni ya Utafutaji

Kumbukumbu 30:19-20

Kumbukumbu 30:19-20 NEN

Leo ninaziita mbingu na nchi kama mashahidi dhidi yako kwamba nimeweka mbele yako uzima na mauti, baraka na laana. Basi sasa chagueni uzima, ili wewe na watoto wako mpate kuishi, na ili upate kumpenda BWANA Mungu wako, uisikilize sauti yake na kuambatana naye. Kwa kuwa BWANA ndiye uzima wako, na atakupa wingi wa siku ili upate kuishi katika nchi aliyoapa kuwapa baba zako Abrahamu, Isaki na Yakobo.

Mipango ya Kusoma Bila Malipo na Ibada zinazohusiana na Kumbukumbu 30:19-20