Chapa ya Youversion
Ikoni ya Utafutaji

Kum 30:19-20

Kum 30:19-20 SUV

Nazishuhudiza mbingu na nchi juu yenu hivi leo, kuwa nimekuwekea mbele yako uzima na mauti, baraka na laana; basi chagua uzima, ili uwe hai, wewe na uzao wako; kumpenda BWANA, Mungu wako, kuitii sauti yake, na kushikamana naye; kwani hiyo ndiyo uzima wako, na wingi wa siku zako; upate kukaa katika nchi BWANA aliyowaapia baba zako, Ibrahimu, na Isaka, na Yakobo, kuwa atawapa.

Soma Kum 30

Mipango ya Kusoma Bila Malipo na Ibada zinazohusiana na Kum 30:19-20