Chapa ya Youversion
Ikoni ya Utafutaji

Mhubiri 2:24-25

Mhubiri 2:24-25 NEN

Hakuna kitu bora anachoweza kufanya mtu zaidi ya kula na kunywa na kuridhika katika kazi yake. Hili nalo pia, ninaona, latokana na mkono wa Mungu, kwa sababu pasipo yeye, ni nani awezaye kula na kufurahi?