Mhubiri 2:24-25
Mhubiri 2:24-25 Maandiko Matakatifu ya Mungu Yaitwayo Biblia (SUV)
Mwanadamu hapati jema kupita kula na kunywa, na kuiburudisha roho yake kwa mema katika kazi yake. Hayo nayo naliona ya kwamba hutoka mkononi mwa Mungu. Kwa maana ni nani awezaye kula au kujiburudisha kuliko mimi?
Shirikisha
Soma Mhubiri 2Mhubiri 2:24-25 Biblia Habari Njema (BHN)
Hakuna chema kimfaacho binadamu, isipokuwa kula na kunywa na kuifurahia kazi yake. Hili nalo nimeliona kuwa latoka kwa Mungu, maana usipojaliwa na Mungu, huwezi kupata chakula wala kujifurahisha.
Shirikisha
Soma Mhubiri 2