Chapa ya Youversion
Ikoni ya Utafutaji

Kutoka 31:2-5

Kutoka 31:2-5 NEN

“Tazama, nimemchagua Bezaleli mwana wa Uri, mwana wa Huri, wa kabila la Yuda, nami nimemjaza Roho wa Mungu, pamoja na ustadi, uwezo na ujuzi katika aina zote za ufundi, ili kubuni michoro ya kupendeza katika ufundi wa dhahabu, fedha na shaba, kuchonga vito na kuvitia mahali, kufanya ufundi kwa mbao, na kujishughulisha na aina zote za ufundi.

Mipango ya Kusoma Bila Malipo na Ibada zinazohusiana na Kutoka 31:2-5