Chapa ya Youversion
Ikoni ya Utafutaji

Kutoka 31:2-5

Kutoka 31:2-5 BHN

“Mimi nimemteua Bezaleli, mwana wa Uri, mjukuu wa Huri, wa kabila la Yuda na kumjaza roho wangu. Nimempatia uzoefu na akili, maarifa na ufundi, ili abuni kazi za usanii na kufanya kazi za kufua dhahabu, fedha na shaba. Nimempatia ujuzi wa kuchonga mawe ya kupambia, kuchonga mbao, na ujuzi wa kila aina ya ufundi.

Soma Kutoka 31

Mipango ya Kusoma Bila Malipo na Ibada zinazohusiana na Kutoka 31:2-5