Chapa ya Youversion
Ikoni ya Utafutaji

Kutoka 33:16-17

Kutoka 33:16-17 NEN

Mtu yeyote atajuaje kuwa mimi pamoja na watu wako tumepata kibali mbele zako, usipokwenda pamoja nasi? Ni nini kingine kitakachoweza kututofautisha mimi na watu wako miongoni mwa watu wengine wote walio katika uso wa dunia?” BWANA akamwambia Mose, “Nitakufanyia jambo lile uliloomba, kwa sababu ninapendezwa nawe, nami ninakujua kwa jina lako.”

Mipango ya Kusoma Bila Malipo na Ibada zinazohusiana na Kutoka 33:16-17