Chapa ya Youversion
Ikoni ya Utafutaji

Kutoka 33:16-17

Kutoka 33:16-17 SRUV

Kwa maana itajulikanaje kuwa nimepata neema mbele zako, mimi na watu wako? Siyo kwa sababu unakwenda pamoja nasi, hata mimi na watu wako tutengwe na watu wote walio juu ya uso wa nchi? BWANA akamwambia Musa, Nitafanya na neno hili ulilolinena, kwa maana umepata neema mbele zangu, nami nakujua jina lako.

Soma Kutoka 33

Mipango ya Kusoma Bila Malipo na Ibada zinazohusiana na Kutoka 33:16-17