Chapa ya Youversion
Ikoni ya Utafutaji

Kutoka 6:1

Kutoka 6:1 NEN

Kisha BWANA akamwambia Mose, “Sasa utaona kitu nitakachomfanyia Farao: Kwa sababu ya mkono wangu wenye nguvu atawaachia watu waende; kwa sababu ya mkono wangu wenye nguvu atawafukuza waondoke nchini mwake.”

Mipango ya Kusoma Bila Malipo na Ibada zinazohusiana na Kutoka 6:1