Chapa ya Youversion
Ikoni ya Utafutaji

Kutoka 7:11-12

Kutoka 7:11-12 NEN

Farao naye akawaita watu wenye maarifa na wachawi na waganga wa Kimisri, nao wakafanya vivyo hivyo kwa siri ya uganga wao. Kila mmoja alitupa fimbo yake chini, nayo ikawa nyoka. Lakini fimbo ya Aroni ikazimeza zile fimbo zao.

Mipango ya Kusoma Bila Malipo na Ibada zinazohusiana na Kutoka 7:11-12