Chapa ya Youversion
Ikoni ya Utafutaji

Kutoka 7:11-12

Kutoka 7:11-12 SRUV

Ndipo Farao naye akawaita wajuzi na wachawi; na hao waganga wa Misri wakafanya vivyo hivyo kwa uganga wao. Wakabwaga chini kila mtu fimbo yake, nazo zikawa nyoka; lakini fimbo ya Haruni ikazimeza fimbo zao.

Soma Kutoka 7

Mipango ya Kusoma Bila Malipo na Ibada zinazohusiana na Kutoka 7:11-12