Chapa ya Youversion
Ikoni ya Utafutaji

Kut 7:11-12

Kut 7:11-12 SUV

Ndipo Farao naye akawaita wenye akili na wachawi; na hao waganga wa Misri wakafanya vivyo kwa uganga wao. Wakabwaga chini kila mtu fimbo yake, nazo zikawa nyoka; lakini fimbo ya Haruni ikazimeza fimbo zao.

Soma Kut 7

Mipango ya Kusoma Bila Malipo na Ibada zinazohusiana na Kut 7:11-12