Chapa ya Youversion
Ikoni ya Utafutaji

Mwanzo 18:23-24

Mwanzo 18:23-24 NEN

Ndipo Abrahamu akamsogelea akasema: “Je, utawaangamiza wenye haki na waovu? Je, ikiwa watakuwepo watu wenye haki hamsini katika mji huo, hivi kweli utauangamiza na wala hutauacha kwa ajili ya hao watu hamsini wenye haki waliomo ndani yake?

Mipango ya Kusoma Bila Malipo na Ibada zinazohusiana na Mwanzo 18:23-24