Chapa ya Youversion
Ikoni ya Utafutaji

Mwa 18:23-24

Mwa 18:23-24 SUV

Ibrahimu akakaribia, akasema, Je! Utaharibu mwenye haki pamoja na mwovu? Huenda wakawapo wenye haki hamsini katika mji, utaharibu, wala hutauacha mji kwa ajili ya hao hamsini wenye haki waliomo?

Soma Mwa 18

Mipango ya Kusoma Bila Malipo na Ibada zinazohusiana na Mwa 18:23-24