Chapa ya Youversion
Ikoni ya Utafutaji

Mwanzo 27:39-40

Mwanzo 27:39-40 NEN

Baba yake Isaki akamjibu, akamwambia, “Makao yako yatakuwa mbali na utajiri wa dunia, mbali na umande wa mbinguni juu. Utaishi kwa upanga, nawe utamtumikia ndugu yako, lakini wakati utakapokuwa umejikomboa, utatupa nira yake kutoka shingoni mwako.”

Mipango ya Kusoma Bila Malipo na Ibada zinazohusiana na Mwanzo 27:39-40