Chapa ya Youversion
Ikoni ya Utafutaji

Mwanzo 27:39-40

Mwanzo 27:39-40 BHN

Ndipo Isaka, baba yake, akamwambia, “Makao yako yatakuwa mbali na ardhi yenye rutuba, na mbali na umande wa mbinguni. Utaishi kwa upanga wako, na utamtumikia ndugu yako; lakini utakapoasi utaivunja kongwa yake shingoni mwako.”

Soma Mwanzo 27

Mipango ya Kusoma Bila Malipo na Ibada zinazohusiana na Mwanzo 27:39-40