Chapa ya Youversion
Ikoni ya Utafutaji

Mwanzo 32:26

Mwanzo 32:26 NEN

Ndipo yule mtu akasema, “Niache niende, kwa kuwa ni mapambazuko.” Lakini Yakobo akajibu, “Sitakuacha uende usiponibariki.”

Mipango ya Kusoma Bila Malipo na Ibada zinazohusiana na Mwanzo 32:26