Chapa ya Youversion
Ikoni ya Utafutaji

Waebrania 11:17

Waebrania 11:17 NEN

Kwa imani Abrahamu, alipojaribiwa na Mungu, alimtoa Isaki kuwa dhabihu. Yeye aliyekuwa amezipokea ahadi za Mungu alikuwa tayari kumtoa mwanawe, aliyekuwa mwanawe pekee awe dhabihu.

Mipango ya Kusoma Bila Malipo na Ibada zinazohusiana na Waebrania 11:17