Chapa ya Youversion
Ikoni ya Utafutaji

Waebrania 11:5

Waebrania 11:5 NEN

Kwa imani Enoki alitwaliwa kutoka maisha haya, kiasi kwamba hakuonja mauti. Hakuonekana, kwa sababu Mungu alikuwa amemchukua. Kwa kuwa kabla hajatwaliwa alikuwa ameshuhudiwa kuwa ni mtu aliyempendeza Mungu.

Mipango ya Kusoma Bila Malipo na Ibada zinazohusiana na Waebrania 11:5