Chapa ya Youversion
Ikoni ya Utafutaji

Waebrania 11:8-9

Waebrania 11:8-9 NEN

Kwa imani Abrahamu, alipoitwa aende mahali ambapo Mungu angempa baadaye kuwa urithi, alitii na akaenda, ingawa hakujua anakokwenda. Kwa imani alifanya maskani yake katika nchi ya ahadi kama mgeni katika nchi ya kigeni; aliishi katika mahema, kama Isaki na Yakobo walivyofanya, waliokuwa pia warithi pamoja naye wa ahadi ile ile.

Mipango ya Kusoma Bila Malipo na Ibada zinazohusiana na Waebrania 11:8-9