Chapa ya Youversion
Ikoni ya Utafutaji

Waebrania 11:8-9

Waebrania 11:8-9 BHN

Kwa imani Abrahamu alimtii Mungu alipoitwa aende katika nchi ambayo Mungu angempa iwe yake. Ingawa hakujua alikokuwa anakwenda, Abrahamu alihama. Kwa imani aliishi kama mgeni katika nchi aliyoahidiwa na Mungu. Aliishi huko katika hema kama walivyoishi Isaka na Yakobo, ambao pia walishiriki ahadi ileile.

Mipango ya Kusoma Bila Malipo na Ibada zinazohusiana na Waebrania 11:8-9