Chapa ya Youversion
Ikoni ya Utafutaji

Hosea 7:13

Hosea 7:13 NEN

Ole wao, kwa sababu wamepotoka kutoka kwangu! Maangamizi ni yao kwa sababu wameniasi! Ninatamani kuwakomboa, lakini wanasema uongo dhidi yangu.

Mipango ya Kusoma Bila Malipo na Ibada zinazohusiana na Hosea 7:13