Chapa ya Youversion
Ikoni ya Utafutaji

Hosea 9:1

Hosea 9:1 NEN

Usifurahie, ee Israeli; usishangilie kama mataifa mengine. Kwa kuwa hukuwa mwaminifu kwa Mungu wako; umependa ujira wa kahaba kwenye kila sakafu ya kupuria nafaka.

Mipango ya Kusoma Bila Malipo na Ibada zinazohusiana na Hosea 9:1