Chapa ya Youversion
Ikoni ya Utafutaji

Hosea 9:7

Hosea 9:7 NEN

Siku za adhabu zinakuja, siku za malipo zimewadia. Israeli na afahamu hili. Kwa sababu dhambi zenu ni nyingi sana na uadui wenu ni mkubwa sana, nabii anadhaniwa ni mpumbavu, mtu aliyeongozwa na Mungu anaonekana mwendawazimu.

Mipango ya Kusoma Bila Malipo na Ibada zinazohusiana na Hosea 9:7