Chapa ya Youversion
Ikoni ya Utafutaji

Hos 9:7

Hos 9:7 SUV

Siku za kupatilizwa zimekuja, siku za kulipa zimefika; Israeli atayajua hayo; huyo nabii ni mpumbavu, huyo mtu mwenye roho ana wazimu; kwa sababu ya wingi wa uovu wako, na kwa sababu uadui umekuwa mkubwa.

Soma Hos 9

Mipango ya Kusoma Bila Malipo na Ibada zinazohusiana na Hos 9:7