Chapa ya Youversion
Ikoni ya Utafutaji

Isaya 39:8

Isaya 39:8 NEN

Hezekia akamjibu Isaya, “Neno la BWANA ulilosema ni jema.” Kwa kuwa alifikiri, “Patakuwepo amani na usalama wakati wa uhai wangu.”