Chapa ya Youversion
Ikoni ya Utafutaji

Isaya 43:18-19

Isaya 43:18-19 NEN

“Msiyakumbuke mambo yaliyopita, wala msiyatafakari mambo ya zamani. Tazama, nitafanya jambo jipya! Sasa litachipuka, je, hamtalitambua? Nitafanya njia jangwani na vijito vya maji katika nchi kame.