Chapa ya Youversion
Ikoni ya Utafutaji

Isaya 50:10

Isaya 50:10 NEN

Ni nani miongoni mwenu amchaye BWANA, na kulitii neno la mtumishi wake? Yeye atembeaye gizani, yeye asiye na nuru, na alitumainie jina la BWANA, na amtegemee Mungu wake.