Chapa ya Youversion
Ikoni ya Utafutaji

Isaya 56:6-7

Isaya 56:6-7 NEN

Wageni wanaoambatana na BWANA ili kumtumikia, kulipenda jina la BWANA, na kumwabudu yeye, wote washikao Sabato bila kuinajisi na ambao hushika sana agano langu: hawa nitawaleta kwenye mlima wangu mtakatifu na kuwapa furaha ndani ya nyumba yangu ya sala. Sadaka zao za kuteketeza na dhabihu zao zitakubalika juu ya madhabahu yangu; kwa maana nyumba yangu itaitwa nyumba ya sala kwa mataifa yote.”

Mipango ya Kusoma Bila Malipo na Ibada zinazohusiana na Isaya 56:6-7