Chapa ya Youversion
Ikoni ya Utafutaji

Isaya 56:6-7

Isaya 56:6-7 BHN

“Watu wageni watakaonikiri mimi Mwenyezi-Mungu, watakaoniheshimu, wakapenda jina langu na kuwa watumishi wangu, wote watakaoshika Sabato bila kuikufuru, watu watakaozingatia agano langu, hao nitawaleta katika mlima wangu mtakatifu, na kuwafurahisha katika nyumba yangu ya sala; tambiko na sadaka zao zitakubaliwa madhabahuni pangu. Maana nyumba yangu itaitwa: ‘Nyumba ya sala kwa ajili ya watu wote’.

Soma Isaya 56

Mipango ya Kusoma Bila Malipo na Ibada zinazohusiana na Isaya 56:6-7