Isaya 63:7
Isaya 63:7 NEN
Nitasimulia juu ya wema wa BWANA, kwa matendo ambayo apaswa kusifiwa, sawasawa na yote ambayo BWANA ametenda kwa ajili yetu: naam, mambo mengi mema aliyoyatenda kwa ajili ya nyumba ya Israeli, sawasawa na huruma zake na wema wake mwingi.