Chapa ya Youversion
Ikoni ya Utafutaji

Yeremia 23:16

Yeremia 23:16 NEN

Hili ndilo BWANA Mwenye Nguvu Zote asemalo: “Msisikilize wanachowatabiria manabii, wanawajaza matumaini ya uongo. Wanasema maono kutoka akili zao wenyewe, hayatoki katika kinywa cha BWANA.