Chapa ya Youversion
Ikoni ya Utafutaji

Yeremia 29:13-14

Yeremia 29:13-14 NEN

Mtanitafuta na kuniona, mtakaponitafuta kwa moyo wenu wote. Nitaonekana kwenu,” asema BWANA, “nami nitawarudisha watu wenu waliotekwa. Nitawakusanya kutoka mataifa yote na mahali pote nilipokuwa nimewafukuzia, nami nitawarudisha mahali ambapo nilikuwa nimewatoa walipochukuliwa uhamishoni,” asema BWANA.

Mipango ya Kusoma Bila Malipo na Ibada zinazohusiana na Yeremia 29:13-14