Chapa ya Youversion
Ikoni ya Utafutaji

Yer 29:13-14

Yer 29:13-14 SUV

Nanyi mtanitafuta na kuniona, mtakaponitafuta kwa moyo wenu wote. Nami nitaonekana kwenu, asema BWANA, nami nitawarudisha watu wenu waliofungwa, nami nitawakusanya ninyi, nikiwatoa katika mataifa yote, na katika mahali pote, nilikowafukuza, asema BWANA; nami nitawaleta tena, hata mahali ambapo kutoka hapo naliwafanya mchukuliwe mateka.

Mipango ya Kusoma Bila Malipo na Ibada zinazohusiana na Yer 29:13-14