Chapa ya Youversion
Ikoni ya Utafutaji

Yeremia 29:13-14

Yeremia 29:13-14 BHN

Mtanitafuta na kunipata. Mtakaponitafuta kwa moyo wote mtanipata. Nami nitawarudishieni fanaka zenu na kuwakusanya kutoka mataifa yote na mahali pote nilipowafukuzia. Nitawarudisheni mahali ambapo niliwatoa, nikawapeleka uhamishoni. Mimi Mwenyezi-Mungu nimesema.

Soma Yeremia 29

Mipango ya Kusoma Bila Malipo na Ibada zinazohusiana na Yeremia 29:13-14