Chapa ya Youversion
Ikoni ya Utafutaji

Yeremia 33:6-7

Yeremia 33:6-7 NEN

“ ‘Hata hivyo, nitauletea afya na uponyaji, nitawaponya watu wangu na kuwafanya wafurahie amani tele na salama. Nitawarudisha Yuda na Israeli kutoka nchi ya kutekwa kwao, na kuwajenga tena kama walivyokuwa hapo awali.