Yeremia 33:6-7
Yeremia 33:6-7 Swahili Revised Union Version (SRUV)
Tazama, nitauletea afya na kupona, nami nitawaponya; nami nitawafunulia wingi wa amani na kweli. Nami nitawarudisha wafungwa wa Yuda, na wafungwa wa Israeli, na kuwajenga kama kwanza.
Shirikisha
Soma Yeremia 33Yeremia 33:6-7 Biblia Habari Njema (BHN)
“Hata hivyo, mimi nitauponya mji huu na kuwapa watu wake afya; nitawajalia ustawi mwingi na usalama. Nitawastawisha tena watu wa Yuda na watu wa Israeli; nitawaimarisha kama walivyokuwa hapo awali.
Shirikisha
Soma Yeremia 33