Ayubu 23:8-9
Ayubu 23:8-9 NENO
“Lakini nikienda mashariki, hayupo; nikienda magharibi, simpati. Anapokuwa kazini pande za kaskazini, simwoni; akigeukia kusini, nako simwoni hata kidogo.