Chapa ya Youversion
Ikoni ya Utafutaji

Yona 4:10-11

Yona 4:10-11 NEN

Lakini BWANA akamwambia, “Wewe unakasirika kwa ajili ya mzabibu huu, nawe hukuusababisha kuota wala kuutunza. Uliota usiku mmoja, nao ukafa usiku mmoja. Lakini Ninawi ina zaidi ya watu 120,000 ambao hawawezi kupambanua kulia au kushoto, pamoja na ngʼombe wengi. Je, hainipasi kufikiri juu ya mji ule mkubwa?”

Mipango ya Kusoma Bila Malipo na Ibada zinazohusiana na Yona 4:10-11