Chapa ya Youversion
Ikoni ya Utafutaji

Yona 4:2

Yona 4:2 NEN

Akamwomba BWANA, “Ee BWANA, hili si lile nililolisema nilipokuwa ningali nyumbani? Hii ndiyo sababu niliharikisha kukimbilia Tarshishi. Nikifahamu kuwa wewe ni Mungu mwenye neema na huruma, si mwepesi wa hasira na umejaa upendo, ni Mungu ambaye hughairi katika kupeleka maafa.

Mipango ya Kusoma Bila Malipo na Ibada zinazohusiana na Yona 4:2