Chapa ya Youversion
Ikoni ya Utafutaji

Yon 4:2

Yon 4:2 SUV

Akamwomba BWANA, akasema, Nakuomba, Ee BWANA; sivyo hivyo nilivyosema, hapo nilipokuwa katika nchi yangu? Hii ndiyo sababu nalifanya haraka kukimbilia Tarshishi; kwa maana nalijua ya kuwa wewe u Mungu mwenye neema, umejaa huruma, si mwepesi wa hasira, u mwingi wa rehema, nawe waghairi mabaya.

Mipango ya Kusoma Bila Malipo na Ibada zinazohusiana na Yon 4:2