Chapa ya Youversion
Ikoni ya Utafutaji

Walawi 11:45

Walawi 11:45 NEN

Mimi ndimi BWANA niliyewapandisha mtoke Misri ili niwe Mungu wenu. Kwa hiyo kuweni watakatifu kwa sababu Mimi ni mtakatifu.