Chapa ya Youversion
Ikoni ya Utafutaji

Luka 17:5-6

Luka 17:5-6 NENO

Mitume wake wakamwambia Bwana, “Tuongezee imani.” Bwana akawajibu, “Kama mngekuwa na imani ndogo kama punje ya haradali, mngeweza kuuambia mti huu wa mkuyu, ‘Ng’oka ukaote baharini,’ nao ungewatii.